MAONYESHO YA VYUO VIKUU YAFUNGULIWA RASMI DIAMOND JUBILEE

Maonyesho ya vyuo vikuu yamefunguliwa rasmi leo 18/4/2012 na Mh.Makamu wa Rais Bw.Gharib Bilal katika ukumbi wa Diamond Jubilee yatakayofanyika hadi tarehe 20/4/2012,Maonyesho haya yamelenga zaidi kuiwezesha jamii kupitia elimu ya juu,sayansi,technolojia na ugunduzi wa mambo mbalimbali.

Zifuatazo ni picha mbalimbali zikionyesha chuo cha Mt.Augustino kilivyojiandaa katika maonyesho haya.
Mgeni rasmi Mh.Dr.Gharib Bilal makamu wa Rais wa Tanzania akiwa meza kuu tayari kufungua maonyesho.
Francis,Kisaka,Nyanja wakichakarika kuhakikisha mambo yanaenda sawa.
Lucky Mgimba akitoa maelezo mbalimbali yanayohusiana na sheria





Aidan Kaijanante akitoa maelezo mbalimbali kwa watembeleaji wa banda la SAUT
Blogger mwenyewe nikiwepo pia kuwakilisha chuo changu.
Watembeleaji wa Banda la SAUT
Veneranda Kessy pia yupo kuakikisha mambo yanaenda sawa.
Komu living pamoja na Alda Sadango wakitoa huduma kwa watembeleaji wa banda la Saut
Loi Kababa akifafanua swali aliloulizwa na mmoja wa watembeleaji

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA