Zao la pareto ni miongoni mwa mazao ambayo wakulima wamekuwa wakipunguza na kuacha kuyalima kabisa, huenda ni kutokana na bei yake kuwa chini au soko sumbufu. Kamera ya Benjamin Kaminyonge ilipita maeneo ya wilaya ya Makete, kata ya Matamba na kuona zao hilo likiwa kwenye shamba la ekari moja ndani ya kijiji kizima huku kukiwa na mazao kama mahindi, ngano, maharage na alzeti kwa wingi. (picha: benjaminkaminyoge.blogspot.com)
pande hizi ni za kariakoo maeneo ya msimbazi nilikuwepo mida ya mchana,pande hizi watu hawakosekani kuna nyomi ya watu kama unabisha nenda saa nane usiku kariakoo na utakuta watu wanapiga mzigo kama kawaida!!!!
Comments
Post a Comment