MSANII LINAH APAGAWISHA WASHINGTON DC


Linah akivuta hisia kwneye show yake Washington DC

Mdau akichukua taswira ya mwimbaji Linah alipokua akiwasha moto kwenye show yake Washington DC nchini marekani

Wadau
mbalimbali wakicheza kwa furaha songi mbalimbali zilizokua
zikiporomoshwa na msanii Linah kutoka Tanzania kwenye show yake
iliyofana sana Washington DC nchini Marekani

Linah akiiimba kwa hisia kwenye show yake DC

Linah(kulia)akiwa na wadau

Warembo mbalimbali waliojitokeza kwenye show ya linah Washington DC nchini Marekani
--
Mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya,Estalina Sanga 'Linah' amepagawisha wadau mbalimbali Washington DC nchini Marekani ambapo tarehe 21 Mwezi Huu anatarajia kupagawisha wadau wa Miji ya COLUMBUS OHIO
Comments
Post a Comment