UCHANGIAJI WA CHF UTABADILI MFUMO WA UPATIKANAJI WA HUDUMA ZA AFYA SHINYANGA
Wazee ndiyo chimbuko letu..mjumbe wa bodi ya
wakurugenzi ya NHIF pia ni Rais wa CWT Bwn. Gratian Mukoba akitoa msaada
wa mashuka kwa wazee waliopo kwenye kambi ya wazee ya kolandoto,ikiwa
ni katika mwendelezo wa siku ya wadau wa NHIF mkoani Shiynyanga.
Pokeeni msaada huu ili uwasaidie wahitaji hususani akina mama wajawazito walale sehemu safi na watoto watakaojifungua.
Hata wodini tunafanya kazi ....ni
mjumbe wa bodi ya mfuko wa taifa wa bima ya afya Bwn. Gratian Mukoba
akimsikiliza mwalimu Devotha Msenyu aliyekuwa amelazwa kwenye
hospitali ya mkoa wa Shinyanga kwa matibabu wakati wa kutoa msaada wa
mashuka kupitia siku ya wadau wa NHIF mkoani humo.
Watoto wanayofuraha punde wanapomuona mama akimjali
kulia ni Bi christina Ilumba mwanasheria wa NHIF akimfunika mtoto Hasma
masanja kwa shuka likiwa ni sehemu ya msaada kwenye wodi ya watoto ya
hospitali ya kolandoto.
NHIF inayo dhamira ya dhati katika kusaidia makundi
maalum hususani wazee kupitia mipango yake mbalimbali kwa kushirikiana
na wadau wa sekta ya afya,pichani ni Mjumbe wa bodi,waganga wafawidhi wa
mkoa na kambi ya wazee,watumishi wa mfuko wa kanda na makao makuu.
Comments
Post a Comment