Vyuo mbalimbali vyatangaza sifa na namna ya kutuma maombi
CHUO CHA UFUNDI ARUSHA (ATC) www.atc.ac.tz.
Sifa
za mwanafunzi ni kupata angalau (D) katika masomo ya sayansi ambayo ni
Mathematic, Physics, Chemistry kwa mwanafunzi wa kike lakini kwa
mwanafunzi wa kiume awe amepata (C) katika masomo mawili kati ya hapo
juu baada ya hapo ataitwa katika "access course" ambayo inachua muda wa
miezi miwili na wiki mbili. Mwanafunzi anatakiwa kupata alama hamsini
katika kila somo ambayo ni Mathematic, Physics, Computer and Mechanic.
Gharama za "Acc Ess course" ni shilingi laki mbili kula na kulala Chuo
kwa "female only".DAR ES SALAAM INSTUTE OF TECHNOLOGY (DIT) www.dit.ac.tz
Sifa ni nikupata angalau (D) katika masomo yote ya sayansi kwa kila "man and woman"
Kuna "access course" kwa muda wa miezi miwili na wiki mbili kwa gharama za shilingi laki na nusu kulala chuo lakini kula kila mwanafunzi anajitegemea lakini wanafunzi wataofauru watadhaminiwa na Serikali kwa gharama za kulipa shilingi laki mbili na kumi elfu.
Kozi, tembelea kwenye tovuti yao hapo juu.
MBEYA INSTUTE OF TECHNOLOGY AND SCIENCE (MIST) www.mist.ac.tz
Sifa kila mwanafunzi aliyefauru angalau (D) Katika masomo ya sayansi
Fomu inapatikana kwa shilingi elfu kumi na tano kwenye tovuti yao hapo juu.
Kuna "access course" kwa wanafunzi watakachaguliwa kujiunga na chuo kwa muda wa miezi miwili na wiki mbili (2). Kwa mwanamke analipa shilingi laki moja na kumi kula anajitemea, kwa mwanaume shilingi laki mbili na thelathini kula anajitemea. Akifaulu anakuwa "Under government sponsorship scheme" atalipa shilingi laki mbili na nusu.
MBEGANI FISHERIES DEVELOPMENT CENTREKuna course mbalimbali pale chuoni, fomu zinapatikana pale chuoni. Ada kwa sasa shilingi laki saba kwa mwaka kula na kulala chuoni.
Sifa za mwanafunzi kujiunga chuoni ni kupata (D) katika masomo ya sayansi
Kwa ngazi ya cheti muda wa course ni miaka miwili.
Kwa mwanafunzi wanachukua diploma sifa za kujiunga ni
Kupata angalau `S`mbili Katika masomo ya sayansi muda wa course ni miaka miwili
VYUO VYA MIFUGO NA MAENDELEO YA UVUVISifa ya kujiunga na vyuo vya mifugo ni kufauru masomo ya sayansi kwa kiwango kisicho pungua points 28 katika kiwango kimoja na kufauru masomo ya sayansi kwa kiwango cha (D) muda wa kozi ni miaka miwili tu.
Ada sasa ni shilingi laki tatu private laki tisa kwa mwaka kwa ngazi ya cheti na diploma kwa sifa za kujiunga nachuo kwa ngazi ya diploma ni "S" kwa masomo ya Sayansi tu. Maombi kutumwa kwa KATIBU MKUU WAZARA YA MIFUGO NA M AENDELEO YA UVUVI S.L.P.9252 DAR ES SALAAM.
CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII DAR ES SALAAM
CHUO KINATOA KOZI ZIFUATAZO
Human resource management ngazi ya cheti na diploma kwa sifa ya (d-5) kwa ngazi ya cheti na (s-e) kwa ngazi ya diploma
Social work – course kwa ngazi ya Cheti na Diploma.
Fomu zake ni shilingi elfu ishilini tu tembelea www.isd.ac.tz
CHUO CHA USIMAMIZI WA MAHAKAMA LUSHOTO - TANGA (www.ija.ac.tz)
Kuna kozi moja tu ambayo ni "Certifacate of Law" muda ni mwaka mmoja tu.
Sifa ya kujiunga ni kupata (D) katika masomo ya Arts, kufauru sommo la Engilish ni lazima. Fomu zinapatikana kwa shilingi elfu kumi na tano tu.
Kwa ngazi ya Diploma ni kupata credit 5 za kidato cha nne au kupata japo (E-S) katika masomo ya Arts. Ada ni shilingi milioni moja laki tatu kwa mwaka bila malazi without accommodation).
Sifa za muombaji ni kupata japo "D" ya somo la Biology kwa ngazi ya cheti kufaulu Mathematics ni sifa ya ziada. Barua iwe na picha tatu na cheti cha kuzaliwa.
Kwa ngazi ya cheti kupata angalau "S" katika masomo ya Sayansi.
Kuna kozi kama ifuatavyo:
- Clinical officer
- Hearth officer
- Laboratory officer
- Assistance officer of clinical officer
- Dental officer
KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII
S.L.P 9083 DAR ES SALAAM
Comments
Post a Comment