KWAHERI STEVEN KANUMBA TUONANE PARADISO

Mwili wa Steven Kanumba katika viwanja vya Leaders jijini Dar es salaam.Mh. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu akitoa heshima za mwisho.


Mwili wa Marehemu Steven Kanumba ukiwa umekwishawasili kwenye viwanja vya Lidaz Club,Kinondoni jijini Dar mapema hii asubuhi tayari kwa watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa serikali kuanza kuuaga mwili.

There is a special choir for the event.. na ndiyo aliyokuwa akihudumu marehemu enzi za uhai wake.

There are so many people...

So many people are already at Leaders Club,and other keep coming!!


mama mzazi wa Kanumba akiwapungia mkono mashabiki wa mwanae waliokuwa viwanja vya leaders wakiuaga mwili wa marehem

watoto wawili walikuwa aki act na marehem Kanumba wakiingia viwanjani

Mwili wa marehemu ukifikishwa viwanjani tayari kwa kumpa heshima ya mwisho




The area..

This is Steven Kanumba's casket as it arrives at Leaders Club
Personally,i thank the government for its involvement,esp to provide security.


There are security men everywhere!!


Red Cross are having a hard time today...if you want to volunteer,please show up at Leaders Club,NOW...


Wadau wa msalaba mwekundu wakitoa msaada kwa mwananchi aliyezirai viwanjanihapo.
Picha Zote kwa hisani ya Mitandao mbalimbali.i.e Issa Michuzi, Miss Popular Blog, DjChoka Blog, Bongocelebrity.com

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA