DHAMANA KESI ZAO ZAANZA KUUNGURUMA MAHAKAMANI


  • TWENTY PERCENT ASAFIRI KWENDA CONGO NA KUSHINDWA KUHUDHURIA MAHAKAMANI
  • WAPANGA KUZIHAMISHA KESI HIZO KUTOKA MAHAKAMA ZA MWANZO KWENDA KTK LEVEL YA MAHAKAMA YA WILAYA AU MKOA ILI WAWEZE KUMSIMAMISHA MWANASHERIA AWATETEE

Afande Sele
KATIKA ZILE KESI TANO ZINAZOWAKABILI WASANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA AFANDE SELE, TWENTY PA PAMOJA NA WENZAO WAWILI, OF COZ UTAKUA UNAIKUMBUKA NI ILE AMBAYO WALIDAIWA KUINGIA TOWN WAKIWA WAMETUPIA VICHUPI, KUFANYA FUJO, KUJERUHI N.K
JANA ILITAJWA MOJA WAPO NA KESHO KESI NTYINGINE ITA TAJWA, ILA KATIKA KESI HIZO MSANIIN TWENTY PA ATASHINDWA KUHUDHURIA MAHAKAMANI MPAKA ATAKAPO REJEA KUTOKA NCHINI CONGO ALIKOKWENDA KWA AJILI YA KUTUMBUIZA, HIVYO AMEOMBA RUHUSA MAHAKAMANI.
AFANDE SELE NA WENZAKE WANAPANGA KUFUATA HATUA ZA KISHERIA ILI KESI YAO IHAMISHWE KUTOKA MAHAKAMA ZA MWANZO NA IENDE KATIKA MAHAKAMA YA WILAYA AU MKOA ILI WAWEZE KUSIMAMISHA MWANASHERIA WA KUWATETEA.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA