SIKILIZA NYIMBO MPYA YA AY Ft Mis Triniti & Lamyia - Its Goin Down ( Audio )
AY ameachia single yake mpya ya kimataifa ‘Its Going Down’, ambayo amewashirikisha Ms Triniti pamoja na Lamyia. Hii ni mara ya pili kushirikiana na wasanii hawa wa kike kutoka Marekani, Sikiliza hapa
Comments
Post a Comment