Dar es salaam: MADEREVA WA MAGARI YAENDAYO MIKOANI NA NCHI JIRANI KUTOKA UBUNGO WAGOMA.

Madereva
wa mabasi yaendayo mikoani amabayo huanzia safari zake Ubungo jijini Dar
es salaam wameanza mgomo leo asubuhi na kuwapata tabu abiria
wanaotarajia kusafiri kuelekea mikoani na nchi jirani na Tanzani. Kwa
taarifa zaidi endelea kutufatilia zaidi kutoka blog hii . Picha
naAwadh Ibrahim).(MC)
Comments
Post a Comment