#THROWBACKTHURSDAY YA LEO NI KALI TUPU KUTOKA KWA MASTAR WA BONGO
#TBT ya leo picha ya kwanza ni Diamond na Rommy Jones ambaye ni cousin wake, Picha ya pili ni Elizaberth Michael maarufu kama LULU akiwa na mama yake mzazi, picha ya tatu ni Mboni Masimba,
Picha inayofuata ni Mnyama TID akiwa na Salma Msangi na inayofuata ni Salma Msangi na mrembo mwenzie Shumileta akiwa katika photostudio ya huyo aliyopo katikati walipoenda kupiga picha wakati wa kuchukua fomu ya kugombea U miss katika kitongoji cha Kariakoo.
Comments
Post a Comment