AUNT EZEKIEL, MUME WA MTU MAHABA NIUE
Stori: Imelda MtemaMahaba niue! Baada ya penzi la staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson na dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Moses Iyobo ‘Moze’ kushamiri kwa kasi ya umeme, wawili hao wamenaswa wakisindikizana kimalovee kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar.
Tukio hilo lililopigwa chabo na mwanahabari wetu mwanzo mwisho,
lilijiri Ijumaa iliyopita ambapo wawili hao walionekana wakiingia pamoja
kimahaba eneo hilo.
Aunt ambaye ni mke halali wa Sunday Demonte anayedaiwa kufungwa
Uarabuni kwa msala wa madawa ya kulevya, alionekana na Iyobo ambaye pia
ni mume wa mtu (Mwengy) wakishikana mikono katika sehemu ya kukagulia
mizigo kisha wakaagana kwa mabusu motomoto.
Mwanahabari wetu alipomuuliza Aunt
kulikoni, alifunguka: “Nakwenda Marekani lakini wengine wote unaowaona
wananisindikiza kama desturi ya watu kusindikizana.”Kweli? Jamaa
aliyejitambulisha kwa jina la Ally Musa, mkazi wa Moshi mkoani
Kilimanjaro anadai kukimbiwa na mkewe aliyemtaja kwa jina moja la Sauda.
Akizungumza na gazeti hili, mume wa Sauda alisema kwamba, mkewe huyo
ambaye alifunga naye pingu za maisha mwaka 2009, siku zote za maisha yao
ya ndoa walikuwa wakiishi kwa amani na furaha tele lakini mwishoni mwa
mwaka jana ndipo alipomkimbia.
“Nasikitika sana, tulifunga ndoa kubwa ya kifahari na siku zote
tuliishi kwa upendo na furaha tele, cha ajabu nilianza kumuona
anabadilika tabia kutokana na marafiki wa ajabuajabu aliokuwa nao,
akaanza kunidharau mwisho akanikimbia,” alisema.
Baada ya kusikia upande wa mwanaume huyo, ili kupata mzani wa habari
hiyo, gazeti hili lilimsaka Sauda kwa njia ya simu ambapo ilikuwa ikiita
bila kupokelewa na hata alipotumiwa sms hakujibu hivyo bado linamsaka.
Akizungumza na gazeti hili, mume wa Sauda
alisema kwamba, mkewe huyo ambaye alifunga naye pingu za maisha mwaka
2009, siku zote za maisha yao ya ndoa walikuwa wakiishi kwa amani na
furaha tele lakini mwishoni mwa mwaka jana ndipo alipomkimbia.
“Nasikitika sana, tulifunga ndoa kubwa ya kifahari na siku zote
tuliishi kwa upendo na furaha tele, cha ajabu nilianza kumuona
anabadilika tabia kutokana na marafiki wa ajabuajabu aliokuwa nao,
akaanza kunidharau mwisho akanikimbia,” alisema.
Baada ya kusikia upande wa mwanaume huyo, ili kupata mzani wa habari
hiyo, gazeti hili lilimsaka Sauda kwa njia ya simu ambapo ilikuwa ikiita
bila kupokelewa na hata alipotumiwa sms hakujibu hivyo bado linamsaka.
Chanzo:globalpublisher
Comments
Post a Comment