Posts

Showing posts from March, 2015

MTUMIAJI WA DAWA YA MENO JE UNAJUA MAANA YA RANGI HIZI ZILIZOPO KWENYE KOPO LA DAWA YA MENO?

Image
Je, umewahi kujiuliza maana ya alama za rangi zinazowekwa chini ya kopo la dawa ya meno? Basi ninakushauri ni vyema ukajua nini unaweka mdomoni mwako kila siku unapo piga mswaki.  Tazama picha hiyo hapo chini.Baada ya kufahamu maana  halisi ya rangi hizo sasa utakuwa makini katika kuchagua dawa na kujua maana halisi ya kila rangi. Fanya uchuguzi nyumbani kwako ni haina gani ya ragi iliyopo kwenye dawa yako.

UPINZANI WASHINDA UCHAGUZI NCHINI NIGERIA

Image
Taarifa za muda huu zinajuza kuwa Muhammadu Buhari kutoka chama upinzani cha APC ashinda uraisi huko Nigeria na kumuangusha raisi wa sasa Godluck Jonathan. Congratulations to the President-Elect of The Federal republic of # Nigeria .

PICHA: MAMIA WAMZIKA ABDUL BONGE KIJIJINI KWAO MKUYUNI, MATOMBO MKOANI MOROGORO

Image
Maziko ya Mwanzilishi na aliyewahi kuwa Meneja wa Kundi la Tip Top Connection, Abdul Bonge yakifanyika leo kijijini kwao Mkuyuni, Matombo mkoani Morogoro. Mwili wa Abdul Bonge ukiombewa kabla ya maziko leo. Wanamuziki mbalimbali wakiwemo Shetta, Diamond Platnumz, Profesa J, Quick Racka wakishiriki maziko ya Abdul Bonge. Mwanamuziki Diamond Platnumz akishiriki swala ya kumuombea marehemu. Mwili wa Abdul Bonge ukitolewa ndani kupelekwa eneo la kuombewa. Mdogo wa marehemu Abdul Bonge ambaye ni Meneja wa Mwanamuziki Diamond Platnumz, Hamisi Shaban ‘Bab Tale’ akilia wa simanzi juu ya jeneza lenye mwili wa kaka yake. Bab Tale akiwa na majonzi baada ya mwili wa kaka yake kutolewa nje. Waombolezaji wakijaribu kumtuliza Bab Tale. Wanamuziki Shilole (kushoto), Madee (katikati) wakiwa na Meneja wa TMK Wanaume Family, Yamoto Band na Diamond, Said Fella wakati wa mazishi ya Abdul Bonge leo mkoani Morogoro. Wanamuziki Dully Sykes, Diamond Platnumz na Shetta wakiwa katika mazishi ya

MAONI YA NDUGU MALISA NA MTATIRO BAADA YA MAKONDA KUMTAKA GWAJIMA KWA MAHOJIANO

Image
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akimjulia hali Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima aliyelazwa Hospitali ya TMJ kwa ajili ya matibabu baada ya kupata mshituko katika mahojiano na polisi akituhumiwa kutoa lugha isiyofaa kwa Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo. Dotto Mwaibale Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ambaye alikuwa amemwandikia Gwajima barua akimwita ofisi kwake, jana mchana alimtembelea hospitalini hapo kwa ajili ya kumjulia hali kiongozi huyo lakini akasisitiza kuwa nia yake bado ipo palepale. “Nilimtaka leo aripoti ofisini kwangu lakini kwa bahati mbaya anaugua na amelazwa. Nitakwenda kumuona ili nijue hali yake ikoje,” alisema Makonda kabla ya kufunga safari kwenda hospitali alikolazwa. Alisema pia atataka kiongozi huyo wa kiroho amweleze anavyoelewa maana ya uhuru wa kuabudu unaoelezwa katika Katiba, usajili wa taasisi yake na katiba ya taasisi hiyo. “Mimi ni mwenyekiti

WHATSAPP CALL NOW OFFICIALLY OPEN TO ALL, NO INVITES REQUIRED JUST UPDATE TO V 2.12.19

Image
The WhatsApp calling feature is working. It opens seamlesly, no questions asked, no invites needed, no hacks required. You only need to update the app to version 2.12.19, which you can find hosted on  APK Mirror  or on  WhatsApp's website . Once you download the apk file and install it (make sure you have Unknown Sources enabled in your phone's Security Settings to be able to do so), you'll open WhatsApp and the app's UI will have switched over to the new one with the Calls functionality enabled. Over at the  AndroidPolice blog , Rita El Khoury (hat off for the tip) has explored this and noted: You can initiate a new call to any contact while chatting with them or browsing the list of Contacts, but if their version of WhatsApp is still not compatible, you'll get a warning.  If you try to call someone who is offline at the moment, you'll hear the phone ring but no one answers and the person will be notified with a missed call the next time the

UFAFANUZI WA POLISI KUHUSU SILAHA ZINAZOMHUSU GWAJIMA

Image
Leo tarehe 30/03/2015 waandishi wa habari walifika kituo Kikuu cha Polisi wakitaka kujua uhalali wa silaha iliyokamatwa tarehe 29/03/2015. Silaha hiyo ni Bastola aina ya BERRETA yenye namba CAT5802 ikiwa na risasi tatu. Pia zilikamatwa risasi 17 za Short Gun. Ufafanuzu ni kama ifuatavyo: Uchunguzi wa kina na wa kitaalam sasa umethibitisha kwamba silaha hiyo inamilikiwa kihalali na Askofu Josephat Gwajima. Kuhusu risasi 17 za Short Gun ni kwamba Askofu Gwajima anamiliki Bunduki aina ya Short Gun yenye namba 102837 ambayo inatumia risasi za aina ya hizo zilizokamatwa. Kuhusu watu 15 wanaotuhumiwa kujaribu kumtorosha Askofu Josephat Gwajima bado uchunguzi unaendelea. Aidha watu hao pia wanahojiwa kuhusu suala la kukutwa na silaha na risasi zilizotajwa hapo juu wakati wao sio wamiliki halali za silaha hiyo na risasi hizo na idadi iliyotajwa kwa mujibu wa sheria. Baada ya uchunguzi wa suala hilo jalada la kesi litapelekwa kwa mwanasheria wa Serikali kabla hawajafikishwa mahakamani i

MAPITIO YA MAGAZETI KATIKA TV MBALIMBALI MACHI 31,2015

Image
Email This BlogThis! Share to Twitter Share to Facebook

ALIYE WAUA WAINGEREZA WAWILI KUNYONGWA

Image
Mahakama ya Malaysia imemkuta na hatia ya mauaji mtu mmoja kwa tuhuma za mauaji ya wanafunzi wawili wa udaktari kutoka nchini Uingereza.Mauaji hayo yanadaiwa kufanyika August mwaka jana katika kisiwa cha Borneo. Jaji wa mahakama hiyo amesema mahakama imeidhishwa na ushahidi dhidi ya mshitakiwa na kuona anastahili adhabu. Hukumu hiyo inayomkabili Zulkipli Abdullah anadaiwa kuwaua Neil Dalton na Aidan Brunger. Kwa mjibu wa hukumu hiyo ya mauaji, Abbdullah atanyongwa hadi kufa Chanzo .(BBC)

SOMA MAGAZETI YA LEO JUMATANO, MACHI 31

Image

MAGARI KUMI YA BEI GHALI ZAIDI DUNIA

Image
01. Lamborghini Veneno Roadster - $4.5 million 02. Bugatti Veyron 16.4 Grand Sport Vitesse - $2.5 million 03. Koenigsegg Agera S - $1.5 million 04. Hennessey Venom GT - $1.2 million 05. Porsche 918 Spyder - $845,000 06. Rolls-Royce Phantom Extended Wheelbase - $298,900 07. Ferrari F12berlinetta - $315,888 08. Bentley Mulsanne - $298,900 09. Aston Martin Vanquish - $279,995 10. Mercedes-Benz CL65 AMG Coupe - $215,500 Tuma Maoni