MAHAKAMA NCHINI KENYA YAMWACHIA MKUU WA GENGE LA UJANGILI KWA DHAMANA YA SHILINGI MILIONI 10

Mahakama nchini Kenya imemuachia kwa dhamana ya shilingi milioni 10 mtu anayetuhumiwa kuwa kiongozi mkubwa wa genge la ujangili Feisal Mohammed Ali kwa misingi ya kiafya, hatua iliyochochea malalamiko makubwa kutoka kwa wanaharakati wa kupigania wanyamapori.

Feisal ambaye yuko kwenye orodha ya watu tisa waliokuwa wakisakwa na Interpol kwa uhalifu dhidi ya mazingira, alitiwa nguvuni nchini Tanzania mwezi Disemba mwaka jana baada ya kukimbia nchini Kenya.

Chanzo DW

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA