Messi ndiye mwanasoka tajiri duniani kwasasa upande wa makocha Jose Mourinho


mesi

JARIDA LA SOKA LA NCHINI UFARANSA LIMETOA ORODHA YA WANASOKA NA MAKOCHA WENYE UTAJILI MKUBWA KWASASA ULIMWENGUNI,ORODHA HIYO KWA UPANDE WA WANASOKA INAONGOZWA NA LIONEL MESSI,UTAJILI HUO WA MESSI UNATOKANA NA JUMLA YA PESA ZOTE ANAZOZIPATA KUTOKANA NA MSHAHARA PAMOJA NA MIKATABA ALIYOSAINI NA MAKAMPUNI MBALI MBALI.

mesiimou
wakati Messi akiongoza kwa mkwanja kwa upande wa makocha Mreno Jose Mourinho yeye anawakimbiza wenzake kwa kupata mkwanja mnono kutokana na kazi yake ya ukocha,Mourinho kwasasa ni kocha wa Chelsea ya ligi kuu ya England

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA