BONDIA FRANCIS CHEKA AACHIWA, KUTUMIKIA KIFUNGO CHA NJE

 

BONDIA Francis Cheka aliyehukumiwa kifungo cha miaka mitatu kwenda jela kwa kosa la kumpiga ngumi meneja wa baa yake, amebadilishiwa adhabu ya kifungo.
Cheka amechiwa na kutoka gerezani na sasa anatakiwa kutumikia kifungo cha nje

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA