SINTAH AMLIPUA NUHU MZIWANDA BAADA YA KUANDIKA KIINGEREZA KIBOVU INSTAGRAM

ngoja nicheke kizungu mieee my Ribsssssss

Please mtu asiniambie wewe sintah unacheka nini niacheni nicheke tena naomba mniache kwa raha zangu, maana nisipo cheka nitakuwa mnafiki lolest, uwiiiii nacheka hadi natetemeka? kwani lazima IG tuandike kizungu? weka caption yako ya kiswahili raia zitaelewa, nyie mjini kuna raha jamani haaa hakuishi vituko, hivi kuna umuhimu wa wasanii wabongo kurudi shule?? haya magari wanayonunua wangetoa mil 2 wakajisomesha ingekuwaje? 


wengine ubahili wenu tuuu, tafuteni mtu anayejua lugha awe anakushushia lugha ya maana IG ili uwakomeshe ila kwa ule mtindo wenu wa kuweka heshima Dar kuvaa sijui, na mapombe, aaah mtasubiri sana aisee,  unajua most of Nigerians n Ug celebrities wameenda shule labda ndio maana kichwani zimo 89maana wanajitambua jamani narudia tena kuna umuhimu wa wasanii wenu kurudi shuleni hebu longa nao hapa?

naanza na Mwana FA na AY hivi mnawaona wana mbwembwe?? wameenda wakafanya kilichowapeleka na wakarudi ndio maana wanasema ukienda tu class lazima uwe tofauti na  walihudhuria mkutano kwa Obama na walienda na JK  ,yarabi yarabiii wangekuwa wakina mwanafulenge Dar ingezizima, tusingelala.

Good News..... wale wachawi poleee, matokeo yangu yametoka haaaa ni mwendo mdundo wa kuendelea na my last semester nilikuwa nasema haya sintah mie nifeli uso wangu ningeweka wapi ningenangwajee? hahaaa lakini waswahili wanasema Mungu sio Othman kaeni mkao wa kula kumpokea balozi mtarajiwa huko mtaani msiseme nimebebwa na Rais akinichagua itakuwa ni vyeti vyangu maana hamkawii nyie ooh DC hivi vile binaadam hamna jema , wanawake wakiwa wachache kwenye uongozi mnasema gender inequality, wakiongezeka oooh wamependelewa sijui binaadam tukoje na wengi waliolalamika ni wanawake na adui ya mwanamke ni mwanamke mwenzie.....

Ciao
Unstoppable

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA