MTUMIAJI WA DAWA YA MENO JE UNAJUA MAANA YA RANGI HIZI ZILIZOPO KWENYE KOPO LA DAWA YA MENO?

Je, umewahi kujiuliza maana ya alama za rangi zinazowekwa chini ya kopo la dawa ya meno?
Basi ninakushauri ni vyema ukajua nini unaweka mdomoni mwako kila siku unapo piga mswaki. 

Tazama picha hiyo hapo chini.Baada ya kufahamu maana  halisi ya rangi hizo sasa utakuwa makini katika kuchagua dawa na kujua maana halisi ya kila rangi. Fanya uchuguzi nyumbani kwako ni haina gani ya ragi iliyopo kwenye dawa yako.



Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA