MHUDUMU WA BAR AFIKISHWA POLISI BAADA YA KUDAGANYA JINSIA YAKE MWANAMKE KUMBE NI KIDUME

Ugumu wa maisha unaongeza ubunifu, ubunifu
mwingine unakuweka pabaya.. huu wa huyu jamaa
sidhani kama tunaweza kuuita ni ubunifu ila jamaa
aliamua tu atumie njia hii ili apate tu njia ya kupata
mkate wa siku.

Mmiliki wa Bar ya Siaya, Kenya alimshtukia jinsia ya
mmoja ya wahudumu wake wa Bar kwamba jinsia yake
sio ya kike.. Akatoa taarifa Polisi kuhusu mhudumu
huyo, walipokuja kumpekua jamaa alijitetea kwamba
ana jinsia mbili.

Jamaa huyo anaitwa Michael Obiero alikamatwa baada
ya kufanya kazi kwa siku mbili kwenye Bar hiyo
akijitambulisha kwa jina la Brenda na pia alikuwa
akilala chumba kimoja na wahudumu wengine wa kike.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA