Vyakula vya protini, wanga na mboga za majani kwa ajili ya kupunguza uzito
(picha: foodtravelblog.com) |
Vyakula vifuatavyo vikiliwa huku ukifanya mazoezi kiasi, vimeelezwa kuwa vinasaidia vyema kuzuia kuzuia kuongezeka uzito na unene usiotakiwa.
Kundi la vyakula vya protini
- Mchemsho wa kidari cha kuku/bata mzinga (turkey)
- Mchemsho wa nyama yoyote 'nyekundu' isiyo na mafuta kwa asilimia 90%+ mfano top round, eye of round, london broil ama tenderloin
- Maharage
- Yai la kuchemsha
- Mchemsho wa viumbe wa baharini
- Mtindi
- Jibini aina ya cottage
- Tofu
- Seitan
- Tempeh
Kundi la vyakula vya mboga zenye nyuzinyuzi muhimu mwilini vilivyopikwa kwa moto kidogo (au mvuke wa maji yanayochemka) kwa muda mfupi
- Bamia (okra)
- Mchicha
- Broccoli
- Asparagus
- Cauliflower
- Fresh green beans
- Spinach
- Kale
Kundi la vyakula vya wanga na hamirojo
- Wali (hasa brown au unaotokana na mchele mweupe wa mpunga uliotwangwa kienyeji)
- Pasta (wheat or white)
- Quinoa
- Viazi (aina zote)
- Oatmeal
- Mkate wa brown
- Ndizi
Comments
Post a Comment