WATU SITA WAFARIKI NA WENGINE KUJERUHIWA KWA AJALI MKOANI TABORA

#AJALI TABORA:
Watu sita wamefariki na wengine 9 kujeruhiwa baada ya magari manne kugongana huko Undomo wilayani Nzega Usiku wa kuamkia leo. Kwa mujibu wa Mganga wa hospitali ya Nzega amethibitisha Kutokea kwa ajali hiyo 
Chanzo ITV


Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA