WAFUNGWA NCHINI KENYA KUTOPATA CHAKULA CHA BURE WAKATI WA KUTUMIKIA VIFUNGO VYAO

Sheria mpya nchini kenya kuanza kutumika kwa wafungwa wote wanaotumikia vifungo vyao kutopata chakula cha bure magerezani, hayo yamesemwa na  waziri wa usalama Joseph Nkaissery wa nchini  kenya kwamba wafungwa hao wanatakiwa kuisaidia serikali katika kushiriki kwenye maswala mbalimbali ya kimaendeleo ikiwemo ujenzi wa barabara  ili kupunguza gharama kubwa ambayo serikali inatumia kwa ajili ya kuwatunza.
Nkaissery anasema kwamba inakuwaje serikali itumie pesa nyingi kuwalisha watu waliovunja sheria na kuishia kufungwa, hivyo wanapaswa kuwa sehemu ya kuleta maendeleo ya Taifa na sio kuwahifadhi watu wanao liingiza taifa katika hasara.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA