Nusura Watu Wagongwe Na Magari Baada Ya Davido Kurusha Kibunda Cha Mkwanja Katikati Ya Barabara






Msanii ambae ameshakuja Tanzania mara mbili, mkali kutoka Nigeria Davido hivi karibuni alirusha kibunda cha pesa katikati ya barabara ilibaki kidogo watu wagongwe na magari kwa kuzikimbilia pesa hizo 
Mara nyingi unashauriwa kama unaona unapesa nyingi hadi nyingine unaona hazina kazi, nenda katoe misaada kwa watoto yatima, toa misaada katika makanisa na misikiti.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA