NAFASI MPYA 87 ZA KAZI KUTOKA SERIKALINI

Sekretariati  ya  Ajira  katika  Utumishi  wa  Umma  ni  chombo  ambacho  kimeundwa  kwa
mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa
na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1). Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo hiki,
pamoja na kazi zingine kimepewa jukumu la kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea
katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri (Taasisi za Umma).
 
Katibu  wa  Sekretarieti  ya  Ajira  Katika  Utumishi  wa  Umma  anakaribisha  maombi  kwa
Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi  87  za kazi kwa ajili ya  wakala wa
vipimo kama zilivyorodheshwa katika tangazo hili.

Bofya link hapo chini kufungua nafasi hizo za kazi.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA