T.I AMTETEA IGGY AZALEA, SANAA ANAYOIFANYA NDIO KITU KINACHOTAKIWA KUTAZAMWA KWA UAMAKINI NA SIO UTAIFA WAKE.
Kuna swali limejitokeza hivi karibuni juu ya Iggy Azalea ambaye ni raia wa Australia kwamba anatakiwa kuchukuliwa kama mwana Hip hop au Pop, mwangalizi wa maswala ya kimziki na mwanamuziki pia Rah Digga, anasema kwamba "Iggy Azalea hauwezi kumuweka katika kundi la hip hop kwa kuwa haiwakilishi hip hop ipasavyo" mwangalizi mwingine Roots’ Questlove, anasema Iggy ni mfano mzuri wa kuingwa ambaye anaonyesha jinsi hip hop inavyozidi kukua na kuwa na mabadiliko.
T.I ambaye anahusika katika kutengeneza na kusimamia kipaji cha Iggy mpaka hapo alipofikia, ameulizwa katika interview kupitia Hard Knock Tv kama anadhani Iggy anatakiwa kuwekwa katika kundi la Hip hop au Pop. "swala la msingi linalotakiwa kuchukuliwa ni kuangalia zaidi kazi yake ya muziki anaoufanya, mtizamo wake wa kisanaa lakini swala ili lisichukuliwe kwa mtazamo wa utaifa wake kwani kwa kufanya hivyo ni ubaguzi".
“I think her influence in music should be attributed to her work
ethic, her artistic views, her impeccable ability to – she has a vision
for herself and she will not compromise,” said Tip. “I think she should
be judged based on that rather than her creed, nationality, or what
country she’s from. Those are stereotypes.”
Chanzo(AllHipHop News)
Comments
Post a Comment