TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI SEKRETARIETI YA AJIRA, KWA NIABA YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya
Ofisi  ya  Mkaguzi  mkuu  wa  Serikali  (NAO),  Wakala  za  Serikali  na
Mamlaka  za  Serikali  za  Mitaa  (MDAs  &  LGAs)  anatarajia  kuendesha
usaili na hatimae kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu
usaili.

Wasailiwa walioitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia yafuatayo:
1. Usaili utaanza saa moja kamili asubuhi (1:00) na utafanyika mahali na
tarehe kama inavyoonesha katika nafasi husika.
2.  Kuja  na  kitambulisho kwa  ajili  ya  utambuzi  mfano:  kitambulisho  cha
mkazi, kupigia kura, kazi, hati ya kusafiria n.k

3. Kuja na Vyeti Halisi (original certificates) vya kuanzia kidato cha nne,
sita,  Stashahada,  Stashahada  ya  Juu,  Shahada  na  kuendelea
kutegemeana na sifa za mwombaji.

4.  “Testmonials”,  “Provisional  Results”,  “Statement  of  results”,  hati
matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS
SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
6. Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi. 

7. Kila msailiwa azingatie tarehe na eneo alilopangiwa kufanya usaili.

8.  Kila  msailiwa  aje  na  cheti  halisi  cha  kuzaliwa  (Original  Birth
Certificate)

9.  Kwa  wale  waliosoma  nje  ya  Tanzania  wahakikishe  vyeti  vyao
vimehakikiwa na kuidhinishwa na mamlaka husika (TCU & NECTA) 
2

10.  Wale  ambao  majina  yao  hayakuonekana  katika  tangazo  hili
watambue kuwa hawakukidhi vigezo, hivyo  wasisite kuomba tena pindi
nafasi za kazi zitakapotangazwa.

Comments

  1. https://lh6.googleusercontent.com/-p-5AT-amLik/T2WEi_MJDqI/AAAAAAAACco/5J-MqivSQw4/s36/23.gifhttps://lh5.googleusercontent.com/-VKGWq-wPGUw/T2WEaEQLA9I/AAAAAAAACa4/ZDnLP29mlgk/s36/14.gif

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA