DIDDY AJIBU "BOOTY" ANAYOIKUBALI ZAIDI KATI YA KIM KARDASHIAN NA J.LO
(AllHipHop News) Sean “Diddy” Combs ambaye ndio mwanzilishi wa "Bad Boy Records" na mwanahip hop namba tatu kwa mkwanja mrefu kwa 2014 kwa mujibu wa jarida la Forbes baada ya Dr. Dre na Jay Z. Juzi ameulizwa na mtangazaji Billy Bush kuhusu maswali mbalimbali ya biashara zake ikiwemo Revolt na Ciroc lakini baada ya maswali hayo host wa Access Hollywood Live alimaliza kwa kumuuliza Diddy kama ameona video mpya ya "booty" ya J.Lo ambaye alikuwa girl friend wake kitambo aliyomshirikisha Iggy Azalea?
Diddy akajibu“Oh my God. I am so lucky to have that great woman in my history,”
said Diddy. “She is one of the greatest I’ve ever seen. StrangĂ©! Go
girl!”
Diddy anasema kwamba ana bahati sana ya kukutana na mwanamke huyo yaani J.lo katika historia ya maisha yake, ni moja wapo wa mwanamke mzuri ambaye hajawahi ona".
Billy Bush hakuishia hapo akamuuliza Diddy swali lingine unafananisha vipi mzigo wa mke wa Kanye yaani Kim kardashian na J.LO?
"sio kwamba nitakuwa nawavunjia heshima kanye na mkewe lakini kwa J.LO bado yuko vizuri kwa mtazamo wangu mimi".

Comments
Post a Comment