JANUARY MAKAMBA AZINDUA MFUMO MPYA WA WASANII KULIPWA KULINGANA NA NYIMBO ITAKAVYOCHEZA NA VITUO VYA RADIO NA TV



Mheshimiwa January makamba akizinduwa Copy Right Management East Africa (CMA) ambao watashirikiana na serikali katika kusimamia na kuhesabu kila nyimbo ya msanii inapopigwa katika kituo cha Redio na TV pia idadi ya matangazo yaliyopigwa kisha wasanii wataanza kulipwa kulingana na mziki wao unavyopigwa kwenye Tv na Redio

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA