WEBSITE 11 BORA KWA AJILI YA NAFASI ZA KAZI

Hivi sasa ulimwengu umebadilika, mambo mengi kwa sasa ni digitali na mfumo huu umerahisisha sana maisha katika baadhi ya nyanja muhimu, na moja wapo ikiwa ni secta ya Ajira kwa hapa kwetu Tanzania. Miaka ya nyuma kwa wale wanaotafuta ajira ilikuwa ni lazima kila siku ununue gazeti, tena sio moja bali ni magazeti mengi ili kuweza kutazama nafasi za kazi zilizotangazwa kwa siku hiyo.

Magazeti maarufu kwa hapa Tanzania yanayo fahamika mpaka leo hii kwa kutangaza nafasi za ajira ni kama vile Dailynews, The Guardian, The citizen, Mwananchi na mengineyo Lakini leo hii mambo yamerahisishwa sana, unaweza kupata matangazo ya ajira kupitia mtandao na kwa urahisi zaidi tena bila hata yakununua rundo la magazeti, tena kwa gharama ndogo sana ambayo ni internet connection yako tu.

Basi leo tuna kufahamisha website 11 zinazo toa matangazo ya Ajira hapa Tanzania

1. Jobs in Tanzania - Tanzania Jobs and Employment Site - Jobs in Tanzania

2. Zoom Tanzania - Tanzania Directory for Business, Entertainment & Travel Info.

3. Ajira Tanzania - Jobs in Tanzania - Employment sites.

4. Ajira Zetu - www.ajirazetu.com.

5. Kazi Bongo - KaziBongo - Jobs in Tanzania.

6. Jobs "Pata Ajira" - Jobs in Tanzania - Pata Ajira in Tanzania.

7. Nafasi za Ajira - Nafasi za Ajira Tanzania.

8. Ajira Kwanza - Jobs In East Africa.

9. Vijana Jobs - TAYOA Employment Portal.

10. Tume ya Ajira - PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS

11. Kijiwe cha wasomi

Bila shaka kama wewe ni mmoja kati ya wanaotafuta ajira basi tovuti hizi zitakuwa ni mwongozo kwako katika kutafuta ajira kwa hapa Tanzania.

Comments

  1. We're a gaggle of volunteers and starting a brand
    new scheme in our community. Your web site offered us with useful information to work on. You have done
    a formidable activity and our whole group will likely be thankful
    to you.

    ReplyDelete
  2. Heya i'm for the primary time here. I camje across this
    board and I to find It truly useful & it helped me out
    a lot. I'm hoping to give one thing back and help others like you helped me.

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA