BREAKING NEWS: DIAMOND PLATNUMZ NA ZARI WAFUNGA NDOA KWA SIRI,

"Waswahili wanasema hayai hayai na sasa yamekuwa" mkali wa Bongo Fleva Diamond Platnumz hatimaye atupia picha na mama kijacho Zarinah  Hassan aka "ZARI" akiwa katika shera ikiwa ni dalili njema ya wapendanao hawa kufunga pingu za maisha.

Kupitia mtandao wa instagram mkali wa number one amepost picha usiku huu ambayo inawaonyesha wawili hawa wakiwa katika mavazi maalum kabisa ya harusi, na picha yenyewe ikisindikizwa na maneno haya  "Wakati Mwingine Usiri Unabaraka zaidi.... Alhamdulillah (Sometimes Privacy has more Blessings... Thank you so Much God  ambayo yana viashiria vya kuwa sasa wamebariki mahusiano yao mbele ya mwenyezi Mungu na kuwa mke na mume.

Picha inaongea zaidi kuliko maneno elfu moja.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA