PICHA; MNYIKA AFANYA MKUTANO KATIKA MANISPAA YA MUSOMA, WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI




Picha hizo za mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Kaimu Katibu Mkuu John Mnyika leo jioni Musoma, Uwanja wa Mkendo baada ya asubuhi kuzindua mafunzo ya timu za kampeni, viongozi wa chama na viongozi wa serikali za mitaa kwa kanda ya Serengeti (Mara, Simiyu na Shinyanga), ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kushinda dola na kuongoza serikali, kama yalivyozinduliwa kitaifa na Mwenyekiti wa Taifa hivi karibuni jijini Dar es Salaam.


Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA