JIUNGE NA WHATSAPP BUSINESS SCHOOL YA JAMES MWANG'AMBA ITAKAYOANZA TAREHE 20/04/2015
Mwalimu wa Ujasiriamali James Mwang'amba.
Jiunge na WhatsApp Business School ya James Mwang'amba itakayoanza tarehe 20/04/2015 ufundishwe yafuatayo na zaidi kwa mwezi mzima. Wiki ya kwanza utapewa shule bure ili ujue shule inaendaje!
1. Jinsi ya kuanzisha biashara bila mtaji au kwa pesa kidogo
2. Jinsi ya kumiliki kiwanda chako kwa mtaji mdogo
3. Jinsi ya kupata mitaji na kushawishi benki ikukopeshe hata kama hukopesheki.
4. Mbinu za Kupenyeza bidhaa au huduma yako na kupata wateja wengi kuliko unaowahitaji
5. Jinsi ya kuwa mwekezaji mwenye mafanikio kwenye soko la hisa, nyumba, majengo na viwanja.
6. Jinsi ya kuhama salama kutoka kuajiriwa mpaka kujiajiri na kufanikiwa zaidi maishani
7. Je biashara za mtandao ni nzuri au mbaya kwa Mtanzania?
8. Jinsi ya kutumia teknolojia ya kisasa kukuza biashara yako na kuhakikisha huanguki kwenye biashara yako! Na mengine mengi.

Kila mshiriki atapewa CDs na DVD na kitabu cha Ujasiriamali (vyote bure).
Tuma namba jina lako, mkoa uliopo na namba yako ya WhatsApp kwenda No. 0762 335 000
Kwa maelezo zaidi piga simu No. 0655 84 66 97.
Email: jmwangamba@gmail.com.
Facebook fan page: Coach James Mwang'amba
Instagram: jamesmwangamba

Comments
Post a Comment