REAL MADRID YAICHAPA RAYO VALLECANO 2-0 YAIPUMULIA BARCELONA
- Get link
- X
- Other Apps
Real Madrid inazidi kuipumulia Barcelona katika mbio za La Liga baada ya kuichapa Rayo Vallecano 2-0 Kwa ushindi huo, Real Madrid inaendelea kutofautishwa kwa pointi kati yake na Barcelona ambayo hapo awali iliifumua Almeria 4-0. Mabao ya Real Madrid yamefungwa na Cristiano Ronaldo aliyetupia katika dakika ya 68 muda mfupi baada ya kulimwa kadi ya njano kwa kujirusha huku bao la pili likifungwa na James Rodriguez dakika ya 74.
- Get link
- X
- Other Apps
Comments
Post a Comment