HAMISA MOBETO APATA MTOTO WA KIKE


Model wa kuitwa Hamisa Mobeto anayetikisa jijini  Dar hatimaye aaitwa mama baada ya kujifungua mtoto wa kike.

 Hamisa ameficha mimba yake kwa siri sana na hakuna aliyetarajia kwamba ni mjamzito. isipokuwa watu wake wa karibu sana.


Picha hii kaipost kwenye mtandao wa instagram na mashabiki wake kuanza kutoa hongera na kusifia usiri mkubwa alioufanya katika kipindi chote cha  miezi tisa katika kuuficha ujauzito wake.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA