LEO NI KUMBUKUMBU YA MIAKA 3 TANGU KANUMBA KUFARIKI
Steven Kanumba aliyekuwa msanii wa maigizo na filamu nchini Tanzania alifariki tarehe 7/4/2012 miaka mitatu iliyopita. Umetangulia nasi bado tupo njiani, jina la bwana liimidiwe, upumzike kwa Amani. Amina

Comments
Post a Comment