FAMILIA YAWEKA WAZI CHANZO CHA KIFO CHA SECKY



 
Marehemu Lusekelo Samson Mwandenga 'Secky' enzi za uhai wake.
Familia ya Marehemu Lusekelo Samson Mwandenga 'Secky' imeweka wazi chanzo cha kifo cha marehemu baada ya kuzagaa habari mitandaoni kuhusu chanzo cha kifo chake.
Familia hiyo imeeleza kuwa marehemu aliumizwa na kiti cha kioo akiwa kambeba mtoto wake nyumbani kwake kisha akapelekwa hospitali na baadaye kufariki dunia akiwa hospitali.
Enzi za uhai wake, marehemu alikuwa mdau mkubwa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, hivyo msiba wake umegusa tasnia hiyo.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu Secky mahali pema peponi. AMEN.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA