JKT YAZIDI KUIBUA MIRADI

Kaimu Mkurugenzi wa habari na Mahusiano Jeshi la kujenga Taifa (JKT) Kaptaini Javan Bwai akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika uzinduzi wa
baadhi ya miradi ya Jeshi hilo. Kushoto ni Afisa Mteule daraja la kwanza, Injinia Fredrick Kaaya, Msemaji wa wizara ya ulinzi na usalama Jeshi la kujenga Taifa (JKT) Meja Josephat Musira na wa mwisho ni Afisa wa Idara ya habari MAELEZO, Fatma Salum.
Mhandisi wa miradi Jeshi la kujenga Taifa (JKT) ,Coplo Lazaro Masanja (kushoto) akitoa maelekezo kwa Msemaji wa wizara ya ulinzi na usalama Jeshi la kujenga Taifa (JKT), Meja Josephat Musira, mara baada ya uzunduzi wa baadhi ya miradi ya Jeshi hilo jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya wanahabari waliohudhuria katika uzinduzi wa baadhi ya majengo yaliyojengwa na Jeshi la kujenga Taifa (JKT).
Msasani Tower ni moja ya majengo ambayo yamejengwa na Jeshi la kujenga Taifa (JKT). (Picha Avila Kakingo).

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA