CHARLES HILARY AJIUNGA NA KITUO CHA AZAM TV CHA JIJINI DAR ES SALAAM
Mtangazaji nguli,Charles Hilary ambaye alikuwa maarufu sana miaka ya tisini hapa nchini na kuamua kutimkia nje ya nchi na kwenda kujiunga na shirika la utangazaji la BBC la nchini Uingereza aamua kuacha kazi katika shirika hilo na kurudi nyumbani kuja kujiunga na kituo binafsi cha azam Tv

Charles Hilary ameendelea kuwa maarufu katika kituo cha utangazaji cha BBC hasa katika utangazaji wake wa taarifa ya habari pamoja na matangazo ya mpira,katika sherehe za kumuaga zilizofanyika jijini London wiki hii, Charles amesema anajisikia fahari kurudi nyumbani kwani amekusanya mazuri yote ya BBC na sasa ni zamu ya kuyarudisha nyumbani.

Comments
Post a Comment