Posts
Showing posts from July, 2014
KUMBUKUMBU: MIAKA 5 YA KIFO CHA MAMA YANGU MPENDWA
- Get link
- X
- Other Apps
LEO imetimia miaka 5 tangu mama yangu mzazi GODRIVER POTI alipotutoka duniani,kiukweli hii ni siku ambayo huwa siwezi kuisahau maishani mwangu,kwani nilimpoteza mtu aliyekuwa muhimu sana tena sana nadiriki kusema hivyo kwa kuwa ndiye aliyekuwa mstari wa mbele kuhakikisha watoto wake tunapata elimu bora,tunajengeka kimaadili kwa kuturekebisha pale tulipokuwa tukikosea lakini pia haukusita kutuonyesha njia iliyosahihi ya kufuata ili kuweza kufanikiwa kimaisha na kuishi na watu vizuri. Pumzika kwa Amani mama huko uliko siku zote za maisha yetu hapa duniani tunakukumbuka sana na tunaamini kuwa siku moja tutaonana tena,Watoto wako Nyanja,Erick,Masatu,Jackqueline na Felister Tunakukumbuka sana tunakosa upendo wako....mama unakumbukwa na dada zako,marafiki na jamaa kwa ujumla. Upumzike kwa amani mama
NAWATAKIA EID MUBARAK NJEMA WAPENDWA WASOMAJI WA BLOH HII.
- Get link
- X
- Other Apps
CHANGAMKIA NAFASI ZA KAZI CHUO KIKUU CHA MTAKATIFU AUGUSTINO (SAUT), MWANZA CAMPUS
- Get link
- X
- Other Apps
The St. Augustine University of Tanzania (SAUT) is a private higher learning Institution Owned by Tanzania Episcopal Conference (TEC) with a vision of holistic development of a person and respect of human dignity. SAUT is an equal opportunity employer and it intends to recruit competent academicians capable of imparting professional skills and inculcate civic and social values to students that will make them better citizens. The applicants are required to fill the following vacant positions:- 1.0 Assistant Lecturers Languages and Linguistics (2 posts) Human Resource Management (2 posts) Public Relations and Advertising (1 post) Accounting and Finance (2 posts) Finance and Banking (1 post) 1.1 Entry qualification for Assistant Lecturer post Holder of relevant of bachelor degree or Equivalent from reputable Higher academic Institution ( First class, or Upper second class, with GPA 3.8 or a B+ in relevant subjects for unclassified degree an...
MOVIE YA EXPENDABLES 3 YA LEAK KWENYE MTANDAO KABLA YA KUTOKA AUGUST 22
- Get link
- X
- Other Apps
Movie ya Expendables 3 iliyokuwa ikitarajiwa kuachiwa rasmi tareha 22 August, 2014 huko Marekani imevujishwa kwenye mtandao kabla ya tarehe rasmi ya kutoka,hivyo unaweza kuiona kabla ya muda wake kutoka rasmi. Movie hii kwa mara nyingine inawakutanisha wakongwe katika zile movie za action kama Sylvester Stallon, Jet Li, Anord Schwarzenegger, Wesley Snipes, Dolph Lundgren, Jason Statham, Antonio Banderas huku jambazi mkuu akiwa ni Mel Gibson kwenye movie hii akijulikana kama stonebanks. Unaweza kuidownload hapa EXPENDABLES ,
AJIRA 200 zilizotolewa uhamiaji zasitishwa ili kupisha uchunguzi
- Get link
- X
- Other Apps