JE UNA NDOTO ZA KUWA MODEL? CHANGAMKIA FURSA HII.

Kesho Jumamosi tarehe 12/07/2014 kuanzia saa 4 asubuhi fomu zitaanza kutolewa kwa wale washiriki wote wenye ndoto za kuwa models kwa upande wa kina dada tu, usahili utaanza kufanyika kuanzia saa 5:00 asubuhi chuo cha uandishi wa habari  ROYAL COLLEGE OF TANZANIA kinachopatikana karibu na kiwanja cha Kinesi, Sinza au kwa upande mwingine karibu na flet za urafiki.

Kwa maelezo zaidi piga namba  0715 517555

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA