BEEF JIPYA ,CHAGGABARBIE AMCHARUKIA MANGE KIMA..........INSTAGRAM

Chaggabarbie kama umemsahau ni yule mdada aliyetikisa miezi ya mwanzoni mwa mwaka huu baada ya kukosana na aliyekuwa boyfriend wake rapper kutoka Kenya call him Prezzo. 

Safari hii kaingia katika beef jipya baina yake yeye na mwanadada Mange Kimambi ambao hawa wote ni watanzania wanaoishi nchini Marekani. kulingana na comments za fans wake inaonekana dhahiri madongo haya yanamwelekea Mange Kimambi, soma alichokiandika Chaggabarbie kupitia instagram.
           picha ya Chaggabarbie

chaggabarbie Maisha Ya Maigizo siiishiii wapendwaaaaa MANGE KIMAVI ulietandikwa Eviction ukijaribu kuonyesha watu unaduka mama Mie mwenzio sifanyi biashara za karanga mama, hunijui kizee wewe mwenzio nafanya biashara ya healthcare karibu kwa offisini nikupe kazi kwani mshahara wa mumeo mnaoutegemea Ni malipo yangu ya client mmoja kwa week. Wenzio biashara zetu zinajitangaza zenyewe hatufanyi matangazo. Wewe Ni mwizi period, jipange na jipya matusi yako nilishayazoea Bibi Aibuuuuuuu Leo umepata malipo unajieleza nini wakati wewe Ni jambazi endelea kuuza nguo zako za Ross forever21 na Charlotte Russell za $15 ukawabambe walio chelewa. Mwendo wangu Mie Ni mdogo mdogo ndio maana nakula maisha ntakavyo sitegemei mzungu kukuweee fikiria kutafuta hata kaduka achauza mitumba yako kwa vibaraza. Una akili kweli siunaona ubongo ulivyo Mavi kufuta mpaka jina la mhusikaaa mwiziiiii sasa wewe siunapenda jisifia nakuomba onyesha bank unapesa ngapi na Mie nionyeshe mchezo uisheeeee otherwise endelea kunicheki kwa IG kwa fakeroooo Account zako bikizeeee ulikwisha habari. Mashogazo wote wamekukimbia Chief jipangeeee Kama ulivyojisahau Leo ukaweka kajina kaile page yako ya IG"
Mange Kimambi
chaggabarbieJambaziiii kakamatwa badala adeal na msala wake anaanza tukana watu matusi ya mwaka 47 ambayo Ni wimbo wa taifa, akiona watu kimya anajua wapo sawa na yeye huyu kifagio mwezi mtukufu anatukana wazazi wa watu khaaaaa Ni masikitiko kwani Mie sitafutagi ugomvi mpaka uingie kwa kumi na nane zangu. Sasa huyu kizee ambae hata mshono wa k haujapona, Mume angekuwa tajiri kaa anavyofanyaga matangazo saa hii angekuwa amekaa kufikiria kuiba kazi za watu na kuibia watanzania wenzie CHEZEA MAREKANI KIMAVI maisha una force mwenzio siku nikizaaa ntakaaa mwaka mzima nikilea kiumbe Changu hata mtandaoni sitaonekana. Mwenye maisha mazuri kwanini atuimbeeee nayo tarumbetaaaaa naheshimu kila mtu mwenzio masikini tajiri mwenye jina asie najina Mie kwangu wote sawa. Weee kizaruda mburula mzee ulienipita miaka 8 unanifundisha nini mieeeee unanifundisha kuiba copy rights za kazi za watu na kuibia masikini alafu nije kujimwaga huku? Kila siku muwest sijui makaratasi Ivi hujui maisha ya watu hubadilika? Mama nimetulia nala kwa NAKShi Nakshiii kijeba weee tafanyali tukana matusi mapya ya zamani nimeyazoeaaaaa kijebaaaaaa

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA