YOUNG KILLER KUDONDOSHA MTAANI SINGLE MPYA "UMEBADILIKA" JULY 22

Hit marker wa My power Young Killer Msodoki, anayewakilisha jiji la miamba (MWANZA)July 22 week ijayo anadondosha mtaani single mpya inayokwenda kwa jina la "Umebadilika" akimshirikisha Banana Zorro. 
So stay Tune kwenye spika ya radio yako.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA