HAIJAWAHI TOKEA KUFIKILIA MSANII HUYU ANAWEZA KUTUPIA MTANDAONI PICHA ZA UTUPU.

Michael Jackson alishasema "People write negatives things, cause they feel that's what sells. Good news to them, doesn't sell." -

Nia yangu ni kutaka kujua idadi ya watu wanaofika hapa kwa kufuata kichwa cha habari,hawatumii muda mwingi katika kutafuta vitu vya msingi bali vile vilivyojengwa kwa msingi wa ngono, kwa nini usitumie internet vizuri katika kupata habari za kijasilimali,elimu, kufanyia utafiti?

Kama nimekukwanza I am sorry.Endelea kutembelea hapa kwa habari mbalimbali za kukujenga kiakili na kukuongezea maarifa.

Kuna utafiti nafanya, ndio maana nimetumia title hiyo.

 DON'T JUDGE THE BOOK BY ITS COVER

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA