JE UMEONA MWONEKANO MPYA CHRIS BROWN? PICHA IKO HAPA

Baada ya Chris Bizzy kutoka jera, katupia picha katika mtandao wa kijamii akiwa na style mpya ya nywele zake, japo Old is gold kwani style hii ukiitizama vizuri haitakuwa ngeni machoni mwako kwani imewahi tumika miaka ya nyuma na wazee wetu.

Je unadhani style hii itaendelekea kumuweka Chris Brown katika trend ya kuigwa na vijana wengi katika style za nywele?tupia comment yako hapa.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA