LINAH APOKEA MAKAVU KUTOKA KWA MASHABIKI BAADA YA KUPOST PICHA YA COVER YA NYIMBO YAKE MPYA ANAYOTARAJIA KUITOA INAYOOSHESHA SEHEMU YA MWILI WAKE.



Mwanadada Linah Sanga amepost cover ya nyimbo yake mpya "oletembah" anayotarajia kuitoa hivi karibuni kupitia instagram, cover hii imepokelewa ndivyo sivyo kutoka kwa mashabiki wake kwa kitendo cha picha iliyotumika katika cover hii kuonyesha sehemu ya mwili wake ambacho ni kitovu kikiwa kinaoneka.

Hizi ni baadhi ya comments kutoka katika cover hiyo kupitia instagram.

kengyaidd Why nude..can't u look nice without show ya nude
barakalicious Mmh...hilo tumbo kaaah!! ...mi cjapenda kabisa...upendezi ukivaa hivyo...@officiallinah
 
anithakalua Achen kuiga mambo CyO yenu jaman where z ur culture.........?AF isitoshe hlo tumbo ts like (........................)Gud day ila stop stupidity......
 
ivy_yvoh Kwn yupo kwnye ngoma za asili hapo jaman khaa mnataka avae vitenge kwn anaimba injili hyo tz bwna 

ummyyusuph mbona hivyoooooooooooooo
zayfashe Mashallah@officiallinah
jaqii_ferrari_put on some clothes being naked dnt make u prietty!
odafaomary47 Utanzania wako uko wapi???? Acha kuiga mambo yawazungu

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA