HUU NDIO UJUMBE MZURI ALIOUANDIKA NANCY SUMARI KUMTAKIA MUMEWE BIRTHDAY NJEMA

        Nancy akiwa na mumewe Lucas.

Miss Tanzania wa mwaka 2005-2006 Nancy Abraham Sumari na aliyekuwa mwakilishi katika shindano la Miss world mwaka 2005 na kuwa mshindi katika kipengele cha miss world Africa au "Continental Queen of Africa for 2005" amemtumia ujumbe mzuri wa kuzaliwa mumuwe Bwana Lucas ukiwa umeambatanishwa na picha hiyo kutoka katika mtandao wa kijamii wa Instagram.
Huu ndio ujumbe wenyewe alioutuma kwenye Instagram.

nancysumari"On this and indeed every special day that we have been and continue to be blessed with you, i would like you to remember that you are the most special person on earth ( and the hottest guy i know. 😉) From the day i was fortunate enough to know you, to this very day, i have seen tremendous change, growth, awakening, reaffirmation of values, the highest highs, some lows, but most of all, how you continue to be a complete blessing to everyone. You are a hero to the kids,an incredible son and brother and most of all, my SUPERMAN (who drives a bat mobile 😝). 

Thank you for always carrying all of us on your shoulders and just being the ground that makes us all feel rock solid in the world. You are an amazing human being that not only me, but your family, your country and now the world has come to know off! What lucky and amazing times we are living in to continue to witness your success, health, happiness and indeed all the amazing things that we will continue to see from you in days to come. Happy Birthday @simplyluca I love you, #Supermansbirthday"

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA