ALI KIBA JUKWAA MOJA NA NICKI MINAJ,J.COLE NA WAKALI WENGINE KUTOKA AFRIKA.

Zikiwa zimebaki siku mbili mkali wa bongo fleva Ali Kiba kutoa nyimbo yake mpya ambayo masikio ya wapenzi wa muziki wameyategesha kama antena vile kujua ukimya wake ulikuwa na maana, lakini pia ujio wake huu ni kama bomu lilokuwa limetegeshwa kwa muda likisubiri kulipuka.

Kupitia account yake ya Instagram, Ali Kiba amepost poster ambayo inaonyesha kushiriki kwake katika jukwaa moja na wasanii wakali mbalimbali kutoka Afrika na Marekani. 

Je hiki ni kiashiria kwamba Ali Kiba pamoja na kuwa kimya kwa muda mrefu lakini bado kiti chake kipo tu ila ni vumbi tu ambayo iko juu ya kiti hicho kama anavyosema kupitia kipindi cha Sporah show.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA