RAIS BARACK OBAMA AONYESHA UWEZO WAKE WA KUCHEZA POOL TABLE.

Mchezo wa pool table au pocket billiards (maarufu Amerika ya kaskazini) au  pool billiards (Ulaya, Australia) umekuwa maarufu sana katika sehemu mbalimbali duniani na kutafsiliwa kwa njia tofauti na makundi mbalimbali ya watu, wengine wakidhani ni mchezo wa kihuni hasa kuwahusisha wacheza kamali lakini wengine wakiutizama mchezo huu kama michezo mingine.

Rais Barack Obama wa Marekani ameonyesha picha yake kupitia facebook akichuana katika mchezo huu wa pool table akiwa na Gavana John Hickenlooper wa jimbo la Colorado, katika mchezo huu Gavana Hickenlooper alishinda, Rais Barack akaandika maneno haya

"Really, don't ask Governor Hickenlooper who won at pool." —President Obama

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA