INTELLECTUAL RED CAPET BASH YAFANA NDANI YA ISAMILO LOGDE

Jana ilifanyika Bash ndani ya Isamilo lodge sehemu ya swimming pool ambayo ilikuwa imebatizwa kwa jina la "INTELLECTUAL RED CAPET BASH"ambapo iliwakutanisha wanafunzi mbalimbali wa chuo Kikuu cha Mt. Augustino,huku kukiwa na burudani za kila aina,Bash hiyo iliandaliwa na Kijana Faisal akishirikiana na Hussein,After Bash watu walipata fursa ya kuingia ndani ya Club Lips,club ambayo ni maarufu sana jijini Mwanza na pia ni ya Kisasa.
Club Lips

Wadauz

Ni yule yule

John Rimbe flash ikamuhusu

Me na Mdau Faisal


Allen nami ndani ya Isamilo

Hussein (L) mratibu msaidizi wa Bash,Allen and Nyanja

Boaz akatokelezea

Chugaz boys ndani ya Isamilo Lodge



JUKE..WAOOOH U ROCK HIZO EARING.

Mdau Erick Akatokelezea



Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA