STANBOI THE AFRICAN CHILD STEJI MOJA NA MSANII KUTOKA JAMAICA SEAN PAUL

 Msanii kutoka bongo StanBoi ambaye kwa sasa makazi yake ya kimziki yapo USA, amenipigia simu muda si mrefu na kuniambia kwa sasa amejipanga sana kwa kuwapa burudani kwa mashabiki wake wote ulimwenguni. Stanboi mwezi wa 7 mwaka huu anatarajia kufanya show kule Nairobi - Kenya na baada ya show hiyo Stanboi atadondoka Bongo kwa wiki mbili hivi ili aje kuonana na mashabiki wake halafu atarudi zake USA.

Like my page on Facebook- http://www.facebook.com/stanboitheafricanchild

Follow me on Twitter - https://twitter.com/Stan_Boi

Amazing footage from my recent concert with one of my role models and musical influences International Dance Hall superstar Sean Paul............Much love to all ma fans out there!!!!!

Shot & Edited by Peaceful Productions

MGMT & Booking: K-Push Entertainment(Kpush2009@gmail.com)

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA