Kampeni ya Kubandika Stika Zenye Namba za Simu za Vituo Mbalimbali za vituo Vya Polisi Yazinduliwa Jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) Sabasaba Moshingi akibandika stika hizo.
Mmoja wa Madereva waliokabidhiwa Stika hizo kwaajili ya kuzibandika kwenye magari.
Kamanda Mkuu wa Kikosi Cha Usalama Barabarani akizungumza na
Waandishi wa Habari Mara baada ya kuzindua kampeni ya kubandika stika
zenye namba za simu za vituo mbalimbali ambazo abiria watazitumia
kwaajili ya kutoa taarifa za usalama na matukio ya uvunjifu wa sheria
barabarani. Kampeni hiyo inadhaminiwa na benki ya posta (TPB)
SOURCE www.freebongo.blogspot.com
Comments
Post a Comment